Vituko vya Nairobi

Vituko vya Nairobi

Alice Gisa

Senior Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
172
Reaction score
417
Ntakua na update time to time as napata.

1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar kwa pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi wote ni luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.

2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo

Up date ya trh 19.09.2021.

3. Usafiri wa mjini Matatu ni ghari sana ukilinganisha na daladala za Dar Es Salaam. DSM route kama Kawe hadi Mbagala ni tsh 800. Wakati Nairobi route ya Town to Thika ni Ksh 100 sawa na tsh 2200. Ambayo ni fupi ukilinganisha na route ya Kawe to Mbagala.

Route fupi fupi zile za kituo kwa kituo Nairobi ni Ksh 50/= sawa na tsh 1100 wakati DSM ni tsh 400.

4. Niseme na mazuri. Nairobi wako mbele kwenye matumizi ya E-Money, yaani kufanya malipo kwa simu ama mtandao. Kwenye Matatu/daladala karibia 30% ya abiria hulipa nauli kwa Mpesa.
Hasa wadada warembo aka maslay queens. Pia migahawani katika local level si ajabu mtu kulipa chai chapati bill ya 100ksh kwa mpesa. Tz katika hili bado kidogo. Tanzania sijawahi ona daladala mtu analipa kwa mtandao.

5. Gharama za internet Bado zimewaelemea vijana. Wengi huvizia free WiFi za mabaani na mahotelini kuaccess online. Kwa na WiFi ni kuvutio kikubwa Cha mteja. Mtu anaagiza bia moja amalizi analambalamba tu ilimladi aendelee kufaidi internet.

6. Nzuri. Barabara ya Thika iko sawa aisee. bypass kama tatu hivi. Pia Kuna bonge la interchanger. Hadi nimelmliliaa Hayati Magufuli maana angekaa miaka minne tena Morogoro road ingeneoga zaidi.

7. Alafu kwa nini ampitishiani round za bia mkiwa meza moja?, roho mbaya tu. Watu mko meza moja, Kila mtu anajiagizia kibinafsi, ninyi ni makauzu balaa.

8.Note. ukikamatwa na polisi hujavaa barakoa kitu kidogo ndiyo itakuokoa na hii hutegemea na muonekano wako. Ukiwa Boss boss hivi ni Kati ya 2000 na 5000ksh, ukiwa wa Kati hivi ni 500 Hadi 1000
Ukiwa kama mvuta bagi choka mbaya ni fimbo ama 100 Hadi 500ksh.

More Update za Leo 20.9.21

9. Music 70% ya Ngoma hupigwa clubs na kwa Ma3 ni bongo fleva. Na Diamond, Alkiba, Rayvan na Harmonize wanapigwa sana kwa upeke pia Darasa anajina Nairobi kuliko Tz. Na Ngoma kama Lekatutigite ni Ngoma legend kuliko ilivyo Tz.

Singeli haipigwa kabisaaaaa. Na Zuchu Bado hajatoboa siku 6 Leo ni bar to bar sijasikia Ngoma ya Zuchu Wala Nandy.

10. Konyagi inafanya vizuri sana kuliko product ingine yoyote ya Tz ukitoka mazao ya shamba. Juzi nilipata Parkroads karibu na Bulehut hotel nikakuta kijiwe Cha masela wote wanakunya Konyagi. Nikawauliza kwa Nini Konyagi. Wakasema iko poa alafu ni bei nzuri. Inauzwa Ksh 250/= ukilinganisha na pombe za level yake kama Richot huuzwa Ksh 500 at local.
 
jifunze kuandika basi... sio kwa kuchapia huko.
back to the topic,,,
sioni shida hapo kwani ikiwa nyote mumetokea sehemu moja na munaongea lugha moja, munakumbushiana tu some good ol' memories na kupatiana any developing updates bila kudhuru mtu yeyote. wewe shida yako iko wapi?
 
Ntakua na update time to time as napata.

1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunya Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.

2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawambia siyo kweli ni matatizo ya insgram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Wabongo mna shida - point ya kwanza ni uongo, tena uongo umevuka boda! Hivi ukitoka na masela wa mtaani ama wa kazini kwenda kupiga mitungi, inamaana nyote muwa kabila moja? hebu wacha kuropoka utopolo! 🤣 🤣 🤣... Ya pili, mbona kweli, majamaa wa Tz mnapendaga jicho, kutokana na pita pita zangu JF, nimelitambua hilo hata kama wewe sio mambo yako! 🤣 Ishaisha iyo!
 
Ntakua na update time to time as napata.

1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.

2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Leta mastory ya kenya Tony254 komora096
MK254
Kama umeshaingia kwenye migahawa yao weka bei ya kachumbari na tomato source,kwa hii picha zinaonekana kwa mbali ni nairobi hapo [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210915-112322_TubeMate.jpg
 
Ntakua na update time to time as napata.

1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.

2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Dah aliyeelewa huu Uzi msaada tafafhali
 
jifunze kuandika basi... sio kwa kuchapia huko.
back to the topic,,,
sioni shida hapo kwani ikiwa nyote mumetokea sehemu moja na munaongea lugha moja, munakumbushiana tu some good ol' memories na kupatiana any developing updates bila kudhuru mtu yeyote. wewe shida yako iko wapi?
Hiyo ni dalili ya kumwagana damu kwenye uchaguzi ujao[emoji2958][emoji2958][emoji2958] usitake kutudanganya
 
Ntakua na update time to time as napata.

1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.

2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Wewe endelea kugawa tigo.
 
jifunze kuandika basi... sio kwa kuchapia huko.
back to the topic,,,
sioni shida hapo kwani ikiwa nyote mumetokea sehemu moja na munaongea lugha moja, munakumbushiana tu some good ol' memories na kupatiana any developing updates bila kudhuru mtu yeyote. wewe shida yako iko wapi?

This is primitive, and hillbilly.
See below My top 5 best friends are coming from different ethnics,
Mmoja ni Muha wa Kigoma
Mmoja ni chagga,
Mmoja ni Haya,
Mmoja ni Mchewa wa malawi huko
Mmoja ni Mzamiaji toka huko taita taveta
Tumekutana since 2004 tukiwa wadogo (secondary) na sasa tumekuwa ni ndugu wenye Mafungamano kuanzia familia zetu na tayari tuna biashara za pamoja as a family.
Hawa hata nikiaga kwa wife naenda safari ikiwa nipo mjini kwa majukumu mengine ya kifamilia basi watafahamu na wataelewa namna ya kumjulisha shemeji yao ikiwa sipatikani hewani na ananiulizia kwao[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa ndio wananipa connections huko mikoani nikisafiri (mabaharia wanaelewa namaanisha nini)

This is how we live in Tz ndio maana jamaa huko lazima ashangae,
Na ni ajabu sana 21st Century kuwa na tribal mindsets dunia ya Leo,
This is only in Kenya and you may be surprised it is coming from those claiming to be educated.
 
Boss unajaribu kusema kwamba hapa Kenya watu wa kabila tofauti hawafanyi biashara pamoja na pia eti watu wa kabila tofauti hawafungi ndoa?
 
Hapo kwenye wanaume wa TZ kupenda kula tigo iliwahi nikosesha demu mombasa dah

Mtoto mkali ila nilivyosema mimi kutoka tanzaniano dah mwisho wa urafiki na kuanza kuulizwa maswali ya ajabu
 
Labda slum ndiyo wanaweka ukabila pembeni mbele ya chapa
 
Leta mastory ya kenya Tony254 komora096
MK254
Kama umeshaingia kwenye migahawa yao weka bei ya kachumbari na tomato source,kwa hii picha zinaonekana kwa mbali ni nairobi hapo [emoji1787][emoji1787]View attachment 1946008
Jamani zoom hiyo picha kwenye bango chini upande wa kulia mtaona tomato source [emoji1][emoji3]pia unatiliwa kwa bei tofauti na kachumbari nayo bei kivyake nahisi hadi ukitaka kuongeza chumvi kwa chakula unapewa bei yake ksh 5
 
Hapo kwenye wanaume wa TZ kupenda kula tigo iliwahi nikosesha demu mombasa dah

Mtoto mkali ila nilivyosema mimi kutoka tanzaniano dah mwisho wa urafiki na kuanza kuulizwa maswali ya ajabu
Unajua wanaogopa nini ? Jamaa ni wachafu sana huko nyuma hawatakagi kujisafisha kwa maji hata kuoga wanaoga kidumu cha lita 3 za maji
 
This is primitive, and hillbilly.
See below My top 5 best friends are coming from different ethnics,
Mmoja ni Muha wa Kigoma
Mmoja ni chagga,
Mmoja ni Haya,
Mmoja ni Mchewa wa malawi huko
Mmoja ni Mzamiaji toka huko taita taveta
Tumekutana since 2004 tukiwa wadogo (secondary) na sasa tumekuwa ni ndugu wenye Mafungamano kuanzia familia zetu na tayari tuna biashara za pamoja as a family.
Hawa hata nikiaga kwa wife naenda safari ikiwa nipo mjini kwa majukumu mengine ya kifamilia basi watafahamu na wataelewa namna ya kumjulisha shemeji yao ikiwa sipatikani hewani na ananiulizia kwao[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa ndio wananipa connections huko mikoani nikisafiri (mabaharia wanaelewa namaanisha nini)

This is how we live in Tz ndio maana jamaa huko lazima ashangae,
Na ni ajabu sana 21st Century kuwa na tribal mindsets dunia ya Leo,
This is only in Kenya and you may be surprised it is coming from those claiming to be educated.
But jus weekend nimekua na wachaga 6 tukila bata, so pia mimi niseme tanzanians are tribal too?,that logic cant hold water
 
Kwa kuzunguka kwenye forums za kenya aisee hawa jamaa wanapenda ngono hatari wana madanguro yao yanayojulikana na wote.

Na wengine wanasimulia jinsi walivyoibiwa wakiwa katika harakati za kutafuta ngono. Wanaita kuwekewa mchele.
 
watanzania wengi wanawake huja Kenya kujiuza. Kama nadanganya, muulize mleta mada huwa anatafuta nini kwenye vilabu vya Kenya kama sio kibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom