Vituko vya riz'

Vituko vya riz'

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Status update ya Ridhiwani Kikwete FB....

"Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana.

Kwanza kupoteza kada wa Chama Diaspora. Lakini kubwa zaidi nilipokuja gundua kuwa aliwahi niomba urafiki kwenye Facebook lakini sikupata nafasi ya kusoma na kumkubalia ombi lake.

Poleni sana viongozi wa Chama na watanzania mnaoishi Diaspora. Pia pole zote kwa Familia yake na wote wapenda maendeleo wanaopambana Ughaibuni.

Bwana alitoa na bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe."

1450252_573337689408608_1444005272_n.jpg

My take....hakuwa na nafasi ya kumkubalia urafiki FB hadi alipokufa ndiyo amepata nafasi hiyo!

RIP ZAY B
 
View attachment 130294

My take....hakuwa na nafasi ya kumkubalia urafiki FB hadi alipokufa ndiyo amepata nafasi hiyo!

RIP ZAY B

Bwegebwege kama siyo hangover basi utakuwa na usingizi sana!!!!

Kila nikijaribu kusoma sikuelewi!!!!

Pumzika kwanza kisha ujipange uje upya kunyoosha huu uzi ili ueleweke.
Ama sivyo Bwegebwege itakuwa mambo ya kibwege!
 
Heee mkuu mbona umeongea kwa jazba utadhani ww ndo Riz moko!!!...unatia Huruma mkuuu kumkashifu MTU kwa kosa lako la kumkaushia marehemu Fb!
 
Back
Top Bottom