bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Status update ya Ridhiwani Kikwete FB....
"Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana.
Kwanza kupoteza kada wa Chama Diaspora. Lakini kubwa zaidi nilipokuja gundua kuwa aliwahi niomba urafiki kwenye Facebook lakini sikupata nafasi ya kusoma na kumkubalia ombi lake.
Poleni sana viongozi wa Chama na watanzania mnaoishi Diaspora. Pia pole zote kwa Familia yake na wote wapenda maendeleo wanaopambana Ughaibuni.
Bwana alitoa na bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe."

My take....hakuwa na nafasi ya kumkubalia urafiki FB hadi alipokufa ndiyo amepata nafasi hiyo!
RIP ZAY B