KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA,KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA MBELE YA UMMA,JE WANATAKA TUANZE KUCHOKOANA MAISHA BINAFSI YA WAGOMBEA NA UCHAFU WAO?WANACHOKOZA NYUKI JE WANAWEZA KWELI KUKIMBIA?MGOMBEA WAO ALITAMKA MBELE YA WATU KUWA ANA WATOTO NANE NA MKE MMOJA TU,JE WANATAKA NASI TUCHOKONOE ZAIDI?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Mzee tupe list tafadhali.... wameenda mbali zaid na kuwapa kidogodogo waganga njaa wa clouds kwenye kipindi chao cha leo (24.08.2010) ili walitangaze gazeti hilo kwa maana magazeti ya NHC siku hizi ni ya kufungia maandazi (hayasomwi na wengi)
kifua unacho au unabwata tu hapa!!!Huyo ana uchafu zaidi ya huo uliripotiwa leo... Ukweli unauma!
Katika hizi siasa za leo za Tanzania, nani msafi kuliko mwingine ili mtupe nguvu sisi tusio na chama. Maana tusiongee ya Chadema tu kumbe huku kwetu kuna mambo ya aibu yanayotisha na kutia kinyaa zaidi. Vinginevyo, ni bora kupiga kampeni kwa vigezo vya kisiasa zaidi kuliko haya mambo ya kuoa na kuacha.Huyo ana uchafu zaidi ya huo uliripotiwa leo... Ukweli unauma!