Vituko vya Samuel Sitta na Urais

charles mususa

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
297
Reaction score
145
Nimekaa na kujiuliza sasa kwa nini Samuel Sitta alibadirika kabisa wakati wa bunge la katiba na kuwa Sitta mwingine kabisa.Sitta huyu alikuwa haambiliki, hashauriki, na si mpambanaji wa ufisadi.Hatimaye nimehitimisha ya kuwa jamaa huyu ni mjanja sana.Alirekebisha vifungu vyote vyenye nia ya kumpunguzia raisi madaraka kwa kumuongezea raisi madaraka zaidi.KUMBE NI KWA SABABU ANAOTA, ANADHANI KUWA NAYE AWEZA KUJA RAISI.HIVO ANATAKA AWE RAISI MWENYE NGUVU NA ASIYESHAURIKA.Nadhani kulikuwa na haja ya kuweka zuio kwamba wenye nia ya kuwania madaraka katika ofisi hiiyo kubwa ya juu basi wasipewe nafasi katika bunge la katiba.Kwani jamaa kwa kupewa nafasi hiyo, akaona hapo ndipo pa kujipalilia atakapokuwa raisi asibanwe na mtu yeyote yaani raisi Mungu mtu
 
Hata ubunge huku Urambo asahau kupata tena. Wananchi wamemchoka kabisa Sitta kwa unafiki wake.
 
Utaratibu wa kupata kiongozi Tanzania ni wa kufuata utaratibu uliowekwa Kikatiba ambayo mpaka sasa inatumika ile ya 1977. Utaratibu wa uchaguzi upo wazi kulingana na Sheria, Kanuni na Taratibu za uchaguzi. Muda ukifika Watanzania tuchague viongozi wa taifa letu kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na ile ya Rais.
 

Hoja yako peleka jukwaa la siasa
 
na mwaka huu watu wa Urambo wanamfuta kwanye ulmwengu wa siasa maana watu wa urambo anawajua walivyomuazibu mwaka 2000 so co wagen wa Manadoko so CDM &UKAWA mwendo mdundo
 
Samuel Sitta alikuwa na silaha zote za kutumia kufika kuwa Rais
but hakuzitumia...alitegemea kujipendekeza tu awe Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…