charles mususa
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 297
- 145
Nimekaa na kujiuliza sasa kwa nini Samuel Sitta alibadirika kabisa wakati wa bunge la katiba na kuwa Sitta mwingine kabisa.Sitta huyu alikuwa haambiliki, hashauriki, na si mpambanaji wa ufisadi.Hatimaye nimehitimisha ya kuwa jamaa huyu ni mjanja sana.Alirekebisha vifungu vyote vyenye nia ya kumpunguzia raisi madaraka kwa kumuongezea raisi madaraka zaidi.KUMBE NI KWA SABABU ANAOTA, ANADHANI KUWA NAYE AWEZA KUJA RAISI.HIVO ANATAKA AWE RAISI MWENYE NGUVU NA ASIYESHAURIKA.Nadhani kulikuwa na haja ya kuweka zuio kwamba wenye nia ya kuwania madaraka katika ofisi hiiyo kubwa ya juu basi wasipewe nafasi katika bunge la katiba.Kwani jamaa kwa kupewa nafasi hiyo, akaona hapo ndipo pa kujipalilia atakapokuwa raisi asibanwe na mtu yeyote yaani raisi Mungu mtu