Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Hawezi pata mwisho ni hizi nafas alizopata kwa kulipwa c kwa kustahiri
Huu uzi umekosea njia, kwani na yeye kachukua fomu?acheni kuweweseka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi pata mwisho ni hizi nafas alizopata kwa kulipwa c kwa kustahiri
We ndo kilaza kweli kweli, nahc hapo ulikuwa unaota ndoto za mchana na hiyo ni sababu ya kunywa viroba na bangi hizo, acha kudanganya watu humu ndani.mekaa na kujiuliza sasa kwa nini
Samuel Sitta alibadirika kabisa wakati
wa bunge la katiba na kuwa Sitta
mwingine kabisa.Sitta huyu alikuwa
haambiliki, hashauriki, na si
mpambanaji wa ufisadi.Hatimaye nimehitimisha ya kuwa jamaa huyu ni
mjanja sana.Alirekebisha vifungu
vyote vyenye nia ya kumpunguzia
raisi madaraka kwa kumuongezea
raisi madaraka zaidi.KUMBE NI KWA
SABABU ANAOTA, ANADHANI KUWA NAYE AWEZA KUJA
RAISI.HIVO ANATAKA AWE RAISI
MWENYE NGUVU NA
ASIYESHAURIKA.Nadhani kulikuwa
na haja ya kuweka zuio kwamba
wenye nia ya kuwania madaraka katika ofisi hiiyo kubwa ya juu basi
wasipewe nafasi katika bunge la
katiba.Kwani jamaa kwa kupewa
nafasi hiyo, akaona hapo ndipo pa
kujipalilia atakapokuwa raisi
asibanwe na mtu yeyote yaani raisi Mungu mtu
Sita hafikirii. Ni mbulula .
Acha wivu wa kijinga wewe kijana, nini kinakuuma? Mburura labda wewe na huko kwenu. Umekosa adabu hata kwa wazazi wako, matuc hayakusaidii kitu humu ndani.Sita hafikirii. Ni mbulula .
tanzania kuna kiongozi au ujambazi tu
Acha wivu wa kijinga wewe kijana, nini kinakuuma? Mburura labda wewe na huko kwenu. Umekosa adabu hata kwa wazazi wako, matuc hayakusaidii kitu humu ndani.
Nimekaa na kujiuliza sasa kwa nini Samuel Sitta alibadirika kabisa wakati wa bunge la katiba na kuwa Sitta mwingine kabisa.Sitta huyu alikuwa haambiliki, hashauriki, na si mpambanaji wa ufisadi.Hatimaye nimehitimisha ya kuwa jamaa huyu ni mjanja sana.Alirekebisha vifungu vyote vyenye nia ya kumpunguzia raisi madaraka kwa kumuongezea raisi madaraka zaidi.KUMBE NI KWA SABABU ANAOTA, ANADHANI KUWA NAYE AWEZA KUJA RAISI.HIVO ANATAKA AWE RAISI MWENYE NGUVU NA ASIYESHAURIKA.Nadhani kulikuwa na haja ya kuweka zuio kwamba wenye nia ya kuwania madaraka katika ofisi hiiyo kubwa ya juu basi wasipewe nafasi katika bunge la katiba.Kwani jamaa kwa kupewa nafasi hiyo, akaona hapo ndipo pa kujipalilia atakapokuwa raisi asibanwe na mtu yeyote yaani raisi Mungu mtu
tanzania kuna kiongozi au ujambazi tu