fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Yawezekana hufuatilii siasa za marekani,maana hao republican wenyewe wamegawanyika,wapo ambao hawamkubali trump na trump mwenyewe hana mpango na republican,yeye ni mbinafsi anajijali yeye tu.Mimi nachoongelea ni uchawa kila waziri akipata fursa ya kusema ni kumsifia yrump tu,na kila trump akisimama kuongea ni kuwalaumu democrats tu,hana kipyaMarekani si uchawa , yote aliyoyasema trump atayafanya na hata asipoyakamilisha akiingia mgombea mwingine wa republican atayaendeleza pale trump katumwa kutekeleza sera za republican !
Huku uchawa ni watu kukosa ajira na njaa kali iliyopitiliza kule watu uchawa wanafanya kwa mapenzi na ukweli na uhalisia na muhusika kama kungekua kuna uchawa kipindi kile bunge lisingepiga kura kumuondoa muhuni !!
Na harakati alizopitia mpaka anashinda uraisi Trump ni mpambanaji bhana π Samia tu kusemwa mtandaoni watu wanapotezwa huko Trump kawekwa kwenye radar watoe roho kabisa π