Vituko vya sisa za Marekani

Vituko vya sisa za Marekani

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu serikali biden,kwamba ilishusha viwango vya ajira za air yrafic controllers na mawaziri wake wawili waliongea wpte ni kumsifu trump
 
Marekani si uchawa , yote aliyoyasema trump atayafanya na hata asipoyakamilisha akiingia mgombea mwingine wa republican atayaendeleza pale trump katumwa kutekeleza sera za republican !
Huku uchawa ni watu kukosa ajira na njaa kali iliyopitiliza kule watu uchawa wanafanya kwa mapenzi na ukweli na uhalisia na muhusika kama kungekua kuna uchawa kipindi kile bunge lisingepiga kura kumuondoa muhuni !!

Na harakati alizopitia mpaka anashinda uraisi Trump ni mpambanaji bhana 😂 Samia tu kusemwa mtandaoni watu wanapotezwa huko Trump kawekwa kwenye radar watoe roho kabisa 😂
 
Yawezekana hufuatilii siasa za marekani,maana hao republican wenyewe wamegawanyika,wapo ambao hawamkubali trump na trump mwenyewe hana mpango na republican,yeye ni mbinafsi anajijali yeye tu.Mimi nachoongelea ni uchawa kila waziri akipata fursa ya kusema ni kumsifia yrump tu,na kila trump akisimama kuongea ni kuwalaumu democrats tu,hana kipya
 
Back
Top Bottom