Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Algeria wenye umri chini ya miaka 13 (U13) kushoto,wakipeana mikono na nahodha wa timu ya vijana ya klabu ya Caen ya Ufaransa chini ya miaka 13 (U13) kulia kabla ya mchezo wa michuano maalum ya vijana wa umri huo yanayoendelea nchini Algeria.