Vituko vya soka ni vingi sana

Vituko vya soka ni vingi sana

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Algeria wenye umri chini ya miaka 13 (U13) kushoto,wakipeana mikono na nahodha wa timu ya vijana ya klabu ya Caen ya Ufaransa chini ya miaka 13 (U13) kulia kabla ya mchezo wa michuano maalum ya vijana wa umri huo yanayoendelea nchini Algeria.
1115941
 
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dhaaa huyo mwarabu Na huyo refa
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Algeria wenye umri chini ya miaka 13 (U13) kushoto,wakipeana mikono na nahodha wa timu ya vijana ya klabu ya Caen ya Ufaransa chini ya miaka 13 (U13) kulia kabla ya mchezo wa michuano maalum ya vijana wa umri huo yanayoendelea nchini Algeria.View attachment 1115941
 
Huyo refa nae ana umri gani maana simwelewi, Morocco nao wajifunze kuchakachua bana maana hata yale mashindano yaliyofanyika dar walileta vitoto tu
 
Huyo giza nae miyeyusho miaka 13 nywele zimekomaa hivyo, kwanza kanyoaje huyo
 
Back
Top Bottom