Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Aaah zisi isi tumachi kwakweliWaafrika ni watu wa ajabu sana. Kirikou alizaliwa akiwa anaongea, anatembea, anakimbia, anajimudu kwa kila kitu, Sasa huyu mtoto wa miaka 13 kuwa na umbo la tembo mzee unashangaa nini?
😂😂😂Nimecheka mpk mwanangu ana itumbulia macho
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Algeria wenye umri chini ya miaka 13 (U13) kushoto,wakipeana mikono na nahodha wa timu ya vijana ya klabu ya Caen ya Ufaransa chini ya miaka 13 (U13) kulia kabla ya mchezo wa michuano maalum ya vijana wa umri huo yanayoendelea nchini Algeria.View attachment 1115941
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimecheka mpk mwanangu ana itumbulia macho
Hahaaaa. Ila kuna watu wa nyuso kavu Mkuu. Sababu huyo jamaa anaonekana kijeba kabisa aiseeee.Ngozi nyeusi sijui alituloga nani? Dah! Yani nimecheka mpaka nimetokwa na machozi.