Uchaguzi 2020 Vituko vya Uchaguzi: Gari ya matangazo yenye bendera za CCM inatangaza mkutano wa mgombea wa TLP

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Hapa Mwanza Jimbo la Nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za CCM na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea Ubunge wa TLP Jimbo la Nyamagana.

Ama kweli Tanzania ya viwonder!
 
Ha ha ha ha ha ha ,labda kwa sababu ya mgombea wao,si unakumbuka walimtangaza nani kugombea kupitia chama chao ?
Kwa ngazi ya ubunge ccm wana mgombea pia hapa, we uliona wapi?!
 
Wana undugu wa damu hao, TLP Mgombea wao wa Urais ni wa CCM.

Hata hivyo hiyo fea play inaruhusiwa na NEC maana hata Magufuli alitangaza kumpa cheo mgombea mwenzake wa chama kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…