Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Chama Cha MapuuzaHapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.