Chama Cha MapuuzaHapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Plenty of unproductive resources!CCM Ina Mali nyingi. Ina vyama vya siasa, Ina polisi, Ina usalama wa taifa, Watu wasiojulikana , Ina time ya uchaguzi pia ina miliki bakwata na makanisa
PichaHapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Kama ni mgeni wa 'sihasa' za bongo Hilo utashangaa!Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
CCM na TLP mmefunga ndoa ya jinsia moja.Ni machadema pekee ndio huona siasa ni uadui.
Weka picha.Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Nyie ile 2015 ilikuwa ya aina gani mkuu?CCM na TLP mmefunga ndoa ya jinsia moja.
Ajabu.!
Umekosa picha ili tuone wote?!Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Kolabo 'takatifu' japo ukicheche wenu ulileta figisuNyie ile 2015 ilikuwa ya aina gani mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Naam. Hata vyama vingine vinaruhusiwa kukodi vifaa vya Chama kufanya shughuli zao kikubwa wafuate taratibu!Siasa sio uadui.
Ndio muone wanavyowaona hamna akiliHapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
TLP ni Mali ya CCM piaCCM Ina Mali nyingi. Ina vyama vya siasa, Ina polisi, Ina usalama wa taifa, Watu wasiojulikana , Ina time ya uchaguzi pia ina miliki bakwata na makanisa
Chadema mnamiliki Nini ukiacha ofisi ya kupanga ufipa kwa baba yenu mkwe.CCM Ina Mali nyingi. Ina vyama vya siasa, Ina polisi, Ina usalama wa taifa, Watu wasiojulikana , Ina time ya uchaguzi pia ina miliki bakwata na makanisa
Ukawa ilikuwa sodoma na gomora.Nyie ile 2015 ilikuwa ya aina gani mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3]
🤣 🤣Ina time ya uchaguzi pia ina miliki bakwata na makanisa .🤣🤣Mwee iseko isi nunuIna time ya uchaguzi pia ina miliki bakwata na makanisa