bado jaona hiyo?Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
UDP, CUF nao ?????Wameoana hao. Wanalala kitanda kimoja. TLP mchepuko, NCCR mke.
Hutaki ?,huu mchezo hautaki hasira ,mwambie Pambalu sumu haijaribiwi kwa kuonjwa,mtaelewa tu kwanini hilo linafanyikaHapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Sawa, Basi kavideo. Sasa tutaamini vp?Picha ya hilo gari lenye bendera likitangaza?!! Sasa ukishaliona hilo gari lenye bendera za ccm utajuaje sasa linatangaza kampeni za TLP?![emoji38][emoji38]
Siasa sio uadui.
Basi haujaelewa kwanini hilo gari linapiga matangazo.