Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa NairobiEti police have been kicking the door since morning! Polisi wa Kenya washindwe kuvunja mlango, tena na mali yao imefungiwa ndani? Daganya toto.
Wamefanya nini? Wewe tembea Nairobi afu mkipishana na mwanaume wa Nairobi mgonge bega uone kitakachofata. Vijana Nairobi huwa wanasema hapan tambua. Hehe unadhani huku kuna yale maneno ya wanaume wa Dar na chipsi mayai?Wanaume wa Nairobi
Unaujua strong wewe au unadhani ni store ya kuhifadhia biaEti police have been kicking the door since morning! Polisi wa Kenya washindwe kuvunja mlango, tena na mali yao imefungiwa ndani? Daganya toto.
Walimwibia Rafiki yangu pale oracle, aisee wanaume wa Kenya 9/10 ni wakora potential. Thievery in their blood.Wamefanya nini? Wewe tembea Nairobi afu mkipishana na mwanaume wa Nairobi mgonge bega uone kitakachofata. Vijana Nairobi huwa wanasema hapan tambua. Hehe unadhani huku kuna yale maneno ya wanaume wa Dar na chipsi mayai?
Mimi naongea kuhusu wanaume wanaochuna kwa jasho lao, lakini si wezi.Walimwibia Rafiki yangu pale oracle, aisee wanaume wa Kenya 9/10 ni wakora potential. Thievery in their blood.