Haya bhana
Yote kwa yote matukio yako ni ya kawaida sana kwa sbabu ujinga niliowahi kufanya “kuvunja redio nikitaka kusalimiana na watangazaji”
Kingine: Kuchoma nyumba kwa sababu ya kumchoma panzi juu ya majani ya mahindi makavu.
Laana kubwa kabisa..kubaka mmyama
Sent using
Jamii Forums mobile app