Vituko vya wanaume wakati wa Kufanya Mapenzi !

Duh.! Katika uliowataja hapo nahisi na mimi ni mmoja wao maana kuna sehemu umenilenga kabisa.!
Tupia basi kapicha nikuone kama sio wewe niliyewahi kukutafuna kipindi nikiwa huko !

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuwa unanusa kyupi hahahahaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwazi huu unatakiwa unamwambia mwenza wako kisha unasikilizia.
 
Na Mshana Jr mbona hujaweka vituko vyake Demiss
 
Hebu nitafsirie kidogo mwenzio shule la saba

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna kikubwa hapo. Najua umeelewa ila kwa kuwa umenitaka niweke kwa kiswahili, poa. Kutokana na jamaa aliyeniquote, nikasema basi kama mwanamke (akiwa muwazi) anawaza sex kiasi hiki basi wanaume itakuwa balaa kama atakuwa muwazi. Kwa maana ya kwamba sisi wanaume basi muda wote tunawaza sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…