Vituko vya wanaume wakati wa Kufanya Mapenzi !

Hongeraa alafu watu huwa wanatukana mapenzi ni kama kuchagua nguo mtumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaotukana ndo malaya na washenzi kweli kweli wanaojifanya wapole wapole watakatifu awo ni washenzi sana kama mwanaume bac kashazalisha wanawake hata wa4 kashawachomolesha mimba wanawake hata 6 na kashatembea na wanawake hata 20 afu anajikuta mtakatifu mpole kumbe mchafu balaa kama mwanamke bac kashatoa mimba hata 5 kashatembea na wanaume 60 washenzi awo wanaojikuta waongeaji kwamba wao wapole wachaMungu ni wachafu sana mfano mzuri yule mwanamziki wa WCB lavalava mshenzi na mchafu sana yule dogo anajikuta mtakatifu mpole kumbe mchafu balaa achana nao usiwasikilize kila mtu na maisha yake kila mtu abebe msalaba wake mm nishatembea na wanawake 10 ninawatoto 5..na hawa watoto wa 5 ni wa mwanamke mmoja ambae ndo niko nae now ila before nilikuwa nae uku nacheat kama kawa sifichi nishamcheat sana mke wangu nishafanya sana uchafu na ushenzi wa sana na wanawake wengine now nimetulia na my wife...

Yani umeongea ukweli mtupuu hao wanajiita watakatifu hapa jf siku kikinukaa weeeee huwa wanaishiwa na poziii ndo wanaongoza kula kimyaaa kimyaaaaaaa

Mimi mwanamke mpole sitaki hata msikia wanawake wapole ndo wabaya sana yani inshort watuwanaojifanya wapole kwny mahusiano ni wachafu sana tena sana sio mwanaume si mwanamke yani ni wabaya hawa wanaojifanya wapole wataratibu wakimya aaaah awa watu ni shida hatari hawa...

Nilishawahi kuwa na mwanaume mpole alichonifanyia sna hamuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom