Utasubiri Sana! [emoji12]Ngoja liwalipukie washike adabu.
Mungu wangu..Hata hua hatujijali afya zetuView attachment 1256685View attachment 1256686
[emoji23][emoji23]Utasubiri Sana! [emoji12]
Inakuaje msiwe na akili kiasi hiki 😄
Napenda sana kucheka mkuu.. hasa picha za vichekesho
Napenda watu wanaochukulia vitu katika mlengo chanya.. safi sana. Tujijali wanaume..Usalama wetu ni muhimuKwangu mimi natazama ukiwa umetowa somo na tahadhari kubwa kwa hatari na visababishi kwa maana ya sources/vyanzo vya ajari nyingi ni uzembe kwa asilimia kubwa.
Watu waache kupuuza, waache dharau na uzembe. Maana maisha hayana mbadala.
Hii thread ni somo muhimu sana kwa usalama wetu.
Hakika mdogo wanguWanaume tunawapenda na kujali familia zetu