Vituko vya wanaume wakiwa makazini

Vituko vya wanaume wakiwa makazini

Watu wa mkoa wanasoma hiyoo kabla ya Mwanri hajaja kukagua kazi
why-men-dies-12.jpeg
why-men-dies-11.jpeg
 
Dogo muda wowote anachinjwa shingo..
why-men-dies-19.jpeg
why-men-dies-18.jpeg
 
Napenda sana kucheka mkuu.. hasa picha za vichekesho

Kwangu mimi natazama ukiwa umetowa somo na tahadhari kubwa kwa hatari na visababishi kwa maana ya sources/vyanzo vya ajari nyingi ni uzembe kwa asilimia kubwa.

Watu waache kupuuza, waache dharau na uzembe. Maana maisha hayana mbadala.

Hii thread ni somo muhimu sana kwa usalama wetu.
 
Napenda watu wanaochukulia vitu katika mlengo chanya.. safi sana. Tujijali wanaume..Usalama wetu ni muhimu
FB_IMG_15731376125362693.jpeg
 
Hapana mm siwez weka maisha yangu rehani kiasi hiki
FB_IMG_15731376719346776.jpeg
FB_IMG_15731376864013656.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kokote wanapokutana wanaume wa same age basi mambo yao huwa kama watt.
 
Back
Top Bottom