Vitumbua hivi nashindwa kuvisahau

Vitumbua hivi nashindwa kuvisahau

mmh wapenda kula eeh?kama hupendi mafuta mkate wa chila unakufaa pia maana hauna mafuta na taste yake haina tofauti sana na vitumbua.ukimpata mpishi mzuri huu mkate huwa laini kabisa
kweli nime dive heard first kwenye avator yako so nice na pozi lenyewe la mpaka six in the morning!
 
The Boss hivo vitumbua vitakua vimepikwa kwa unga wa mchele na maziwa ndio maana...........try uje utuambie umefanya wonders jikoni!!!😛oa
 
Back
Top Bottom