kwa kweli sijjui...!kahamia wapi huyu mpishi?
kweli nime dive heard first kwenye avator yako so nice na pozi lenyewe la mpaka six in the morning!mmh wapenda kula eeh?kama hupendi mafuta mkate wa chila unakufaa pia maana hauna mafuta na taste yake haina tofauti sana na vitumbua.ukimpata mpishi mzuri huu mkate huwa laini kabisa
we unaweza nije nile?