Vitumbua vya kuku

Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..

Dah! hapo natamani pawe na chai ya maziwa yenye mdalasini au wenyewe wanakwambia spice. Hicho kitumbua hakiendi na chai kavu ati ehe!
 
Shosti kuna na kile cha umeme pia....
 
Last edited by a moderator:
Dah! hapo natamani pawe na chai ya maziwa yenye mdalasini au wenyewe wanakwambia spice. Hicho kitumbua hakiendi na chai kavu ati ehe!

Hahahaha mdalasini,mchaichai,hiliki na zatari weeer tamu....
Cc Angel Nylon
 
Last edited by a moderator:
Leo nimefika Toronto Canada nitakuja huko kwako jioni niandalie kila kitu mahalati ya vyakula haloooooo mdogo wangu.

Hhahahaha usijali na leo kuna supu ya pweza nimepika uje tu kula....
 
Tupe mapishi farkhina angalau tupate la kuwapikia waume zetu tukinafasika!!..

Nikuulize hapohapo huyo kuku mzima tunaechemcha? Au ana vipimo?
Nataka kumpikia bwana week end!
 
He mpnz we, si nlikwambia sim imegoma ku upload, najua hazifiki Toronto ila kwa simu.

Zimelala mpk jana asubuhi lkn utasema ndo kwanza zimepikwa. Lol

Hhahahahaha usijali shukraan....najua hukua na nia ya kuninyima.
 
Tupe mapishi farkhina angalau tupate la kuwapikia waume zetu tukinafasika!!..

Nikuulize hapohapo huyo kuku mzima tunaechemcha? Au ana vipimo?
Nataka kumpikia bwana week end!

Kuku nusu anatosha....
Mpikie hizo ndio pepo zenyewe shoga angu....
 
Kuku nusu anatosha....
Mpikie hizo ndio pepo zenyewe shoga angu....
asante shost. Mie napendaga kuiga mapishi lkn these kind f mapishi!! Sasa what next? Vipi cakes...km chocolate cakes za design tofauti tofauti pls
 
Tupe mapishi farkhina angalau tupate la kuwapikia waume zetu tukinafasika!!..

Nikuulize hapohapo huyo kuku mzima tunaechemcha? Au ana vipimo?
Nataka kumpikia bwana week end!
 
asante shost. Mie napendaga kuiga mapishi lkn these kind f mapishi!! Sasa what next? Vipi cakes...km chocolate cakes za design tofauti tofauti pls

Ipo moja hapa zebra cake itizame.....ntaweka na nyengine inshallah
 
Kitumbua cha kuku,sijakisikia wala kukila na hivi sina chuma cha kuchomea wala sijitii tamaa!
Shukran ukhti!!
cc. King'asti
 
Last edited by a moderator:
Heeeeeh kuna vitumbua vya aina nyingi namna hii ama kweli tembea ujifunze na humu jf tunajifunza Mengi mbona Mungu awabariki wote wasio na choyo ya kutoa ujuzi wao kwa wahitaji .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…