Vituo vya habari vyapigwa rungu na TCRA kwa kurusha maudhui katika muda ambao watoto hawapaswi kuangalia ama kusikiliza

Lisu alisema wakitumaliza sisi wanakuja kwenu. Na hapa bado kama hatukwenda kujikomboa
 
3: Kituo cha #EastAfricaRedio kimekutwa na hatia ya kurusha maudhui yenye kukashifu utendaji wa Serikali katika uteuzi wa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) na kupewa onyo kali pamoja na kutozwa faini ya Shilingi milioni 3.
Mkuu,tunakoelekea ni full kusifia,Nchi imekuwa ya ovyo sana,juz makonda kawazalilisha mdee na Bulaya na vyombo vingi vikarusha uzalilishaji huo,
 
Aisee wanakaba mpaka penalti.
 
3: Kituo cha #EastAfricaRedio kimekutwa na hatia ya kurusha maudhui yenye kukashifu utendaji wa Serikali katika uteuzi wa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) na kupewa onyo kali pamoja na kutozwa faini ya Shilingi milioni 3.
Kuna tofauti kati ya neno kukashifu na kukosoa. Kilichofanywa hapa ni kukosoa ingawa kwa mazingira ya sasa kukosoa kunachukuliwa kama kukashifu ama uchochezi.
 
Gadna Jihabash wa Jahazi apunguze maneno ya matusi na masihara.
Otherwise ni mtangazaji nzuri Sana.

2020
 
Waondoe na tangazo la TIGO linalomwonyesha mwanaume zuzu aliyeacha sh.10,000.00 siku ya kukumbuka kufungwa kwa ndoa yao alafu anakuta mzigo wa 50,000.00, mwishoni kabisa mwa tangazo ni aibu tubu, waliondoe.
 
Kosa la Star Tv ni nini, sijaona hapo juu
Nimesema Ζ™imeeleweΖ™a Ζ™wa maana Ζ΄a Uonevu ulioΖ™ithiri , sijui ulinielewaje hapaπŸ˜€
 
Safi sana TCRA komesha kabisa hizo vuvuzela za ccm
 
Vipi TBC 1 haipo?
Hiyo sidhani hata watoto wa chekechea huwa wanaangalia wakati wowote wakiwa nyumbani au popote. Watangazaji na wanaotangazwa wote hawana mvuto kwa wasio wanachama wa CCM wakiwemo watoto.

TBC ilikuwa ya wakati ule hata Media za kimataifa sasa hazichukui watangazaji toka huko. BBC, VOA, DW na zingine za Kiswahili wanachukua toka Kenya au Rwanda.
 
Kwenye suala la mizania TBC nawapa heko, Taarifa ya Habari eti ni PG 13 [emoji15][emoji848][emoji87]
Mtoto anayeangalia katuni na hajafika la saba habari inamsaidia nini?
 
Waondoe na tangazo la TIGO linalomwonyesha mwanaume zuzu aliyeacha sh.10,000.00 siku ya kukumbuka kufungwa kwa ndoa yao alafu anakuta mzigo wa 50,000.00, mwishoni kabisa mwa tangazo ni aibu tubu, waliondoe.

hilo tangazo si lilisifiwa humu, nilijua lapendwa na wengi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£
 
3: Kituo cha #EastAfricaRedio kimekutwa na hatia ya kurusha maudhui yenye kukashifu utendaji wa Serikali katika uteuzi wa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) na kupewa onyo kali pamoja na kutozwa faini ya Shilingi milioni 3.
Serikali hii ina mapeaa mengiiiiiiii.

Mniombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…