Vituo vya mabasi ya mwendokasi Dar navyo vipewe majina ya viongozi

Vituo vya mabasi ya mwendokasi Dar navyo vipewe majina ya viongozi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni, Gerezani, Ubungo, Morocco na Mbezi ni vyema vikapewa majina ya viongozi wakuu wa nchi ili kuenzi mchango wao wa kuweka miondombinu mizuri na usafiri mzuri unaovutia wa mwendokasi katika jiji la Dar es Salaam.

PIA SOMA
- Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi
 
Mimi naomba kituo cha gongo la mboto kipewe jina langu maana ni sehemu ya kodi yangu
 
Unamwambia mgeni Panda daladala shukia Manzese.

Yeye ubishi anapanda Mwendokasi.

Anafika Manzese kale kadada kwenye spika za Mwendokasi

"kituo kinachofuata ni Ally Hassan Mwinyi"

Ye anakausha..

Anajikuta yupo Kivukoni..
 
Na vyoo vyote vya jiji viwe na majina yao
 
Unamwambia mgeni Panda daladala shukia Manzese.

Yeye ubishi anapanda Mwendokasi.

Anafika Manzese kale kadada kwenye spika za Mwendokasi

"kituo kinachofuata ni Ally Hassan Mwinyi"

Ye anakausha..

Anajikuta yupo Kivukoni..
Kitaitwa Ally Hassan Mwinyi-Manzese.
 
Unamwambia mgeni Panda daladala shukia Manzese.

Yeye ubishi anapanda Mwendokasi.

Anafika Manzese kale kadada kwenye spika za Mwendokasi

"kituo kinachofuata ni Ally Hassan Mwinyi"

Ye anakausha..

Anajikuta yupo Kivukoni..
Hyaaaa...vituo vibaki na uhalisia wake. Nashukia Samia miyeee..
 
Back
Top Bottom