Vituo vya mafuta GBP kwanini mnakataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu?

Vituo vya mafuta GBP kwanini mnakataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu?

Screenshot_20240917-130703~2.png
 
Huu utaratibu upo muda mrefu, kuuziwa mafuta kwenye kidumu uje na barua kutoka serikali ya mtaa iandikwe kwa matumizi ya nini.

Kuzuia uchomaji wa vituo vya polisi kwa mujibu wa intelijensia 😀😀😀
Mtu mwenye nia mbaya akiyahitaji mafuta atayapata tu hata kwa kunyonya kwenye tank la gari.

Kwa mantiki hii hata ukitaka kununua kisu unatakiwa uwe na barua ya mwenyekiti wa mtaa.
Wasiwe wavivu wa kufikiri.
 
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?

Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Kiusalama

Alafu tafuta Jerry can nenda nayo kwenye kituo cha mafuta
Utauziwa tu

Ova
 
Huu utaratibu upo muda mrefu, kuuziwa mafuta kwenye kidumu uje na barua kutoka serikali ya mtaa iandikwe kwa matumizi ya nini.

Kuzuia uchomaji wa vituo vya polisi kwa mujibu wa intelijensia 😀😀😀
Ni uhuni tu unataka kunambia mtu hawezi kuweka kwa gari au pkpk akaenda kuweka kwa chombo kingine na kutumia kwa matumizi mingine?
 
Nimeona ila tukiongea Sasa kiuhalisia hii kanuni ni ya kiuwendawazimu.
Lakini sio sawa kuwalaumu GBP. Wao wamefata utaratibu ambao umewekwa na mamlaka inayosimamia wauza mafuta wote tanzania. Wewe pia kama mnunuzi fata utaratibu vipo vyombo special vya kuhifadhia petrol sio madumu ya plastiki
 
Naomba picha ya hicho chombo special
 
Kuna member mmoja alicomment kwenye Uzi mmoja kua "Tangu lini taasisi za serikali wakatumia akili?"
 
Tafuta hiii ila kwa sasa sijui kama
Zinapatikana,hii ukienda nayo kwenye kituo cha mafuta utawekewa bila wasi,hii ndiyo Jerry can

Ova
 
Attachments

  • Screenshot_20240917_203829_Google.jpg
    Screenshot_20240917_203829_Google.jpg
    502.6 KB · Views: 2
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?

Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Wanaogopa mtawakamata wezi wa vipimo
 
Huu utaratibu upo muda mrefu, kuuziwa mafuta kwenye kidumu uje na barua kutoka kwa serikali ya mtaa iandikwe kwa matumizi ya nini.

Kuzuia uchomaji wa vituo vya polisi kwa mujibu wa intelijensia 😀😀😀
Huo ndio unaitwa ujinga. Hakuna intellijensia hapo.
.Mtu anaweza kwenda na gari au bodaboda na akanunua kisha akayamimina kufanyia uharifu
 
Back
Top Bottom