Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

Unajaziwa wese then unawasha moto, akikuambia lipia mwambie nimezima simu.

Akikuuliza tena, mwambie nafuata masharti yenu.
 
wanatuchezea akili hawaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…