A
Anonymous
Guest
Nina malalamiko juu ya Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma, abiria huteseka kupata huduma ya washroom kwa sababu ya kusubiria mabasi muda mrefu hususan jioni.
Mapendekezo: Waweke vyoo vya kisasa kama vile vya kwenye matamasha kwa sababu abiria huwa wakishaingia mule ndani ya vituo wanapata changamoto ya kutoka nje na kurudi tena kusubiria magari.
Soma Pia: Abiria Mwendokasi-Kivukoni walazimika kutumia korido kujisaidia haja ndogo kutokana na vyoo kutofanya kazi
Abiria wanapata shida ya kujisaidia, vituo vilivyojengwa katika barabara za mwendokasi havina vyoo vya dharura, kuna muda abiria hukaa zaidi ya 2 hours kusubiria gari hasa kituo cha Keko.