DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

powercable

Senior Member
Joined
Apr 20, 2019
Posts
121
Reaction score
170
Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
IMG_20230519_170138.jpg
IMG_20230519_170230.jpg
IMG_20230519_170205.jpg
 
Mtoa mada anaweza asiwe mwandishi mzuri wa mawazo yake, lakini ujumbe imefika vizuri sana.

• Mabanda ya vituo hayapo katika ubora kama yale yanayotumika katika barabara nyingine za mwendokasi za zamani.

• Barabara za mabasi zipo katika kiwango cha chini sana, nadhani simenti wanaweka kidogo. Zimeanza kubomoka. Tembelea kituo cha Mission ama Mtoni utapata jibu.

Nani anatupigia kelele wakati wa kufaidi asali ya mwambao wa pwani? Wewe mtoa mada si mtu mzuri, watu wazuri hawafi. Wewe utakufa kama membe.
 
Kwenye hizo picha ni kitu gani kiko chini ya kiwango?? Usije kuwa hujui viwango vya ubora vya ujenzi!!

Nyumbani kwako umejenga hata banda la kuku??
 
Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Tunashindwa wapi watanzania mbona Kimara Ubungo Posta tumefanya vizuri!
 
Raia wa mbagala ni waharibifu sana,nimeona kwa macho yangu wakiharibu kingo za mwendokasi
 
Mjenzi mchina,mnategemea nini hapo

Ova
 
Back
Top Bottom