TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Kwani mbagala mwendokasi zimesha anza kazi!!? Au ndio vinabomoka kabla ya mradi kuanzaMtoa mada anaweza asiwe mwandishi mzuri wa mawazo yake, lakini ujumbe imefika vizuri sana.
• Mabanda ya vituo hayapo katika ubora kama yale yanayotumika katika barabara nyingine za mwendokasi za zamani.
• Barabara za mabasi zipo katika kiwango cha chini sana, nadhani simenti wanaweka kidogo. Zimeanza kubomoka. Tembelea kituo cha Mission ama Mtoni utapata jibu.
•
Ila mkandarasi wa barabara hiyo kafunika sana! Mradi hauishi miaka nenda rudi, au anafanya kwa pesa zake yeye mwenyewe mfukoni!!!?