powercable
Senior Member
- Apr 20, 2019
- 121
- 170
Bila kueleza tatizo na picha, unataka wapige ramli?Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
MtanikumbukaKichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
be specific, below standard in which aspectsKichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Tunashindwa wapi watanzania mbona Kimara Ubungo Posta tumefanya vizuri!Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Broo una personal interest, unatete nini apo!!Kwenye hizo picha ni kitu gani kiko chini ya kiwango?? Usije kuwa hujui viwango vya ubora vya ujenzi!!
Nyumbani kwako umejenga hata banda la kuku??