Kwani mbagala mwendokasi zimesha anza kazi!!? Au ndio vinabomoka kabla ya mradi kuanzaMtoa mada anaweza asiwe mwandishi mzuri wa mawazo yake, lakini ujumbe imefika vizuri sana.
• Mabanda ya vituo hayapo katika ubora kama yale yanayotumika katika barabara nyingine za mwendokasi za zamani.
• Barabara za mabasi zipo katika kiwango cha chini sana, nadhani simenti wanaweka kidogo. Zimeanza kubomoka. Tembelea kituo cha Mission ama Mtoni utapata jibu.
•
Hilo liko wazi... Kama vile vibanda vya mwanzo vilijengwa vizuri lakini vimekosa matunzo vimekuwa kama vilivyo leo...Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Endelea kusubiri mpaka vutakapoanza kazi baada ya kukabidhiwa kwa serikali ndipo uje kulalamika hapa!Kwani mbagala mwendokasi zimesha anza kazi!!? Au ndio vinabomoka kabla ya mradi kuanza
Ila mkandarasi wa barabara hiyo kafunika sana! Mradi hauishi miaka nenda rudi, au anafanya kwa pesa zake yeye mwenyewe mfukoni!!!?
Nani achukue hatua Samia haahha hapo wataitwa watu stupid tu basi alaf imeisha hioKichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Umeielewa comment yangu mkuu![emoji848]Endelea kusubiri mpaka vutakapoanza kazi baada ya kukabidhiwa kwa serikali ndipo uje kulalamika hapa!
Kama hata wewe umeona viashiria vy ubora dhaifu kwa kucheleweshwa kukamilika mradi unadhani ubora utakuwepo?
Hata kama sina elimu ya ujenzi kwa macho tu kwa kulinganisha n BRT iliyopita, mradi huu unjengwa chini ya kiwango mno!
Sijui Watanzania nani katuroga!
TBS wako kwa Mama Bonge Kariakoo!!!Kwani TBS wanahusika na ukaguzi ama ni OSHA?
tiss wamelala?Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.