Kwenye vituo vyetu vya polisi siku hizi kumekua na tabia ya kukataliwa kupark/kuegesha gari eneo la maegesho.
Eneo lina nafasi ya kutosha hakuna magari ila unaambiwa hapa hauruhusiwi kupaki. Sasa mwananchi ameenda kituoni kupata huduma anakatiliwa kuegesha gari hii haijakaa sawa.
Mbaya zaidi eneo ni kubwa, liko tupu au lina gari chache lakini unaambiwa hauruhusiwi na kama ujuavyo askari wetu hawapendi kuhojiwa. Kitu wanatakiwa wajue ile ni ofisi ya Uma, wanatoa huduma kwa wanachi hawatakiwi kuwa wababe kiasi hiko na kujibu kwa jeuri.
Lazima watenge parking kwa ajili ya ofisi yao na parking kwa ajili ya wateja/wananchi. Kumjibu mwanachi akatafute nje ya kituo hiyo sio huduma bora.
Pengine umepeleka gari kwa ajili ya ukaguzi huyo VEHICLE INSPECTOR atakubali kwenda nilipopaki gari mita 200 nje ya kituo? Wizara na waziri wake simamia hili, askari wanajaza magari yao binafsi wanashindwa kuweka reserve za wateja.