johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kawaida wapinzani na mabalozi kualikwa mkutano mkuu wa CCM!Kama wenyeviti na wabunge wa upinzani wamo basi sina shaka kuwa ile biashara pendwa ya mwendazake na genge lake ya kununua wabunge itaendelea kwa mtindo ule ule
Duh 🙄 unalipwa kiasi gani !.
Labda ile ya baa,inatundikwaga nje!!TV gani ya nje unayoiongelea?
Labda ile ya baa,inatundikwaga nje!!
Hahahaaaa...... Karibu bwashee!Mwambie aliyekutuma hatuna muda mchafu wa kuangalia mkutano wa Ccm
CHAMA CHA MAZEZETA ni CHANZO CHA MATATIZOMgombea ni mmoja,mnatumia mabilioni ya fedha kwenda dodoma kumchagua, kwanini msipige kura hata online au electronic kuepuka matumizi makubwa ya fedha wananchi ili fedha hizo zitumike kujenga barabara,kununulia madawa na kusomesha bure wanafunzu vyuo vikuu. Ushauri muhimu, kuna wimbi la covid-19 ,faeni barakoa.