Vituo vya runinga vya ndani (local channels) na baadhi za nje zitarusha mubashara mkutano mkuu wa CCM

Ila wewe jamaa una mentality ya ajabu sana...mtu mwenye shughuli zake kweli aanze tu kutazama tv kisa mambo ya chama.
Tanzania ina upuuzi mwingi sana sijapata kuona.
Hicho chama ndio kimeshikilia kula yako na amani yako ya kila siku, uamuzi mmoja tu mbovu tunageuka kuwa Libya, ni vyema kuwafuatilia mkuu hata kama huwapendi, na ukiwafuatilia utajua wanakosea wapi, hiyo itakuwezesha kuwakosoa ukiwa na facts mezani.
 
Labda nikuambie kutofuatilia haimaanishi siwapendi la hasha hata kidogo.
Ni kwamba kama huna kazi ya maana ndio utafuatilia..personally siwezi kufanya huo upuuzi..
 
Freeman Mbowe yupo? Hao Wabunge wa Upinzani ni kina nani?
 
Back
Top Bottom