Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vyaafungwa na Serikali ya Kenya baada ya kuendelea kurusha maandamano

Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vyaafungwa na Serikali ya Kenya baada ya kuendelea kurusha maandamano

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vimeondolewa hewani baada ya kuendelea kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Maandamano, ikielezwa kuwa ni baada ya kukiuka amri ya kutoonesha matangazo hayo

Soma Pia: Kenya: Serikali yaagiza vyombo vya habari kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano ya Gen Z

ktn.png
photo_2025-06-25_17-55-27.jpg
 
Kenya akitawala Mkikuyu nchi inatawalika ila yakitawala makabila mengine lazima ubavu utumike.

Kenyata na mapungufu yake hawa vijana wa MAU MAU walikaa kimya.
 
Back
Top Bottom