Vituo vya TV vimenibania kucheza video ya wimbo wangu "Usiunyanyape Moyo Wangu"

Vituo vya TV vimenibania kucheza video ya wimbo wangu "Usiunyanyape Moyo Wangu"

Hakika huyu ndiye baba mwenjilishaji MTEMI DEOGRATIUS NALIMI KISANDU a.k.a masqo ninayemfahamu,.Baba Kisandu,!!Hebu washushie waana kondoo verse iliyojaa chakula cha uzima kutoka katika moja ya vibao vyako vikali vya enjili
Wale mliozoea kumkejeli masqo kuwa katoroka milembe sasa mje mpate chakula cha roho
 
Deogratius Kisandu

Mkuu kati ya mada zako ambazo huwa zinanisisimua mimi pamoja na watu wengine ni hizi:
1.Historia ya maisha yako
2.Kudhulumiwa haki/mali zako
3.Safari yako kisiasa
4.Ndugu zako kukutenga na wengine kutaka roho yako
5.Ndoto yako..unataka kuwa nani hapa Tanzania
Viambatanisho/vyeti/nyaraka/ushahidi wa yale unayoyaelezaga huwa ni burdani sana sana.
Pia Wewe kuwa Rais/mbunge wa NCHI HII.
Deogratius nalimi kisandu...kitukuu cha kisandu
 
Hivi huyu jamaa ndio dudu libayya nini? maana anatunga manyimbo ya kuongea ongea off key halafu analalamika anabaniwa . Hujui chombo cha habari kinafanya biashara namana ya kwawatenga waangaliaji n i pamoja na kupiga nyimbo zinazobamba? lakini zaidi jua kuwa wanafuata sheria za utangazaji hivyo lazima wahakikishe maudhui na melodia vinakubalika kwenye jamii tofauti na hapo wanafungiwa. Sasa wewe kama akili yako ndio hii ya kuchanganya changanya madesa huo wimbo mashairi si yamejaa vituko?
 
Serikali fungieni vitu vyote ila sio JF maana hapa ndio tunapata faraja ya matatizo yoooote,Mungu akupe afya na umri mrefu ndugu yangu Kisandu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa mkuu wakati mwingine huwa najikuta nimekaa muda mrefu bila kuzunguuka naperuzi tu nyuzi hapa JF
 
Mtemi Deo weka video zako hapa ili sisi tukupe promo mpaka Trace Music
 
Deogratius Kisandu

Mkuu kati ya mada zako ambazo huwa zinanisisimua mimi pamoja na watu wengine ni hizi:
1.Historia ya maisha yako
2.Kudhulumiwa haki/mali zako
3.Safari yako kisiasa
4.Ndugu zako kukutenga na wengine kutaka roho yako
5.Ndoto yako..unataka kuwa nani hapa Tanzania
Viambatanisho/vyeti/nyaraka/ushahidi wa yale unayoyaelezaga huwa ni burdani sana sana.
Pia Wewe kuwa Rais/mbunge wa NCHI HII.
Deogratius nalimi kisandu...kitukuu cha kisandu
Umesahau mada yake ya kumkataa mama waziri anayemlazimisha wafanye naye mapenzi.
 
Weka link hapa tukusapoti angalau kupitia YouTube

Mkuu,
Nashangaa karne hii na muongo huu 2010-2020 (decade) wasanii bado wanalilia "kubebwa" na Stesheni za radio/tv wakati kuna njia nyingi mbadala kama YouTube kujipa promo buree bila kuonana na kiumbe binadamu.
 
Hahahaha dah!


Pole bwana Masqo..
 
Mkuu Nalimi nakukibali sana. You are my best member in JF.
 
Mimi pia nina mpango wa kubadilisha gia arthini. 😀😀😀. Nimpe sheitwan kisogo nimempigia promo zisizolipa kwa miaka mingi sasa. 😀 Dah jf, simply the best!
 
Back
Top Bottom