Acha kabisa mkuu wakati mwingine huwa najikuta nimekaa muda mrefu bila kuzunguuka naperuzi tu nyuzi hapa JFSerikali fungieni vitu vyote ila sio JF maana hapa ndio tunapata faraja ya matatizo yoooote,Mungu akupe afya na umri mrefu ndugu yangu Kisandu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau mada yake ya kumkataa mama waziri anayemlazimisha wafanye naye mapenzi.Deogratius Kisandu
Mkuu kati ya mada zako ambazo huwa zinanisisimua mimi pamoja na watu wengine ni hizi:
1.Historia ya maisha yako
2.Kudhulumiwa haki/mali zako
3.Safari yako kisiasa
4.Ndugu zako kukutenga na wengine kutaka roho yako
5.Ndoto yako..unataka kuwa nani hapa Tanzania
Viambatanisho/vyeti/nyaraka/ushahidi wa yale unayoyaelezaga huwa ni burdani sana sana.
Pia Wewe kuwa Rais/mbunge wa NCHI HII.
Deogratius nalimi kisandu...kitukuu cha kisandu
Dah JF bhana ππUmesahau mada yake ya kumkataa mama waziri anayemlazimisha wafanye naye mapenzi.
Weka link hapa tukusapoti angalau kupitia YouTube
Yan maoni yenu mim mbav sinagaMkuu kisandu nimependa hapo ulipo badilisha gia arithini...hahaha we jamaa kweli hamnazo.