Vituo vya watoto yatima: lisiwe lango la ushoga, tafadhali

Vituo vya watoto yatima: lisiwe lango la ushoga, tafadhali

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kwa jina la misaada, Hawa ndugu zetu wanaweza kupenyeza agenda Yao huko. Ni ushauri tu. Kama kweli hatuutaki ushoga vituo hivi vichunguzwe shughuli zao Kwa ukaribu Sana. Na Aina ya misaada wanayopokea,

NB: Hasa volunteers wanaofanya kazi humo, Ni mtihan huenda wakaleta mambo Yao Kwa Hawa Malaika wasiojua kitu.
 
miafrika tunashida kichwani, hao watoto yatima nao umeona wanafaidi sana kuishi hivyn mpaka uwaite mashoga..
 
Kwa jina la misaada, Hawa ndugu zetu wanaweza kupenyeza agenda Yao huko. Ni ushauri tu. Kama kweli hatuutaki ushoga vituo hivi vichunguzwe shughuli zao Kwa ukaribu Sana. Na Aina ya misaada wanayopokea, volunteers wanaofanya kazi humo.
Funguka mkuu ulisaidie Taifa
 
Kwa akili zenu nyie viswaswadu wa Tanganyika, hata ukiona sisimizi utasema katumwa kuleta ushoga.

Baada ya kuzaa matoto yenu na kuyatelekeza barabarani, sasa mmehamia kuwashambulia wanaowasitiri na kuwahifadhi.

Tumeshawaeleza humu, acheni kuzalisha matoto hovyo kama nguruwe, mnaleta tabu nchini.

Badala ya kuwaita watu mashoga ungefunga kwanza papuchi yako kwa kufuli ili utupunguzie mzigo mzito kwa taifa.
 
Fungu litakata soon. Lazima mufuatiliwe. Na Mheshimiwa Waziri yupo humu JF
 
nimepqnga kuja kuoa yatima mmoja.
Tuwe na tamaduni ya kuwatembea kuna vitu tutajifunza.
 
Vituo vya kusaidia watoto vikiondolewa, atakayeviondoa bila kuleta mswada mwingine lazima apate laana, machozi ya watoto wale lazima yageuke kuwa laana.
 
Badala ya kuleta solution ya matatizo kama haya, unawaza ushoga tu
Bladofakeni

1716726458189.png
 
Back
Top Bottom