kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
Yes bro na bado nipo nayo...naiheshimu sana..halaf kwenye barabara imetulia sana ni cc1500 ya mwaka 2002
Mkuu, kuna IST UA-NCP65 (4wd) ya mwaka 2002, CC 1500, mileage 81,686, ninasita sita kuiagiza kwa kuhofia umri wake kwamba itakuwa imezeeka sana. Kumbe niichukue tu eeh?
Cc: quake