Vitz 4WD na ulaji wa mafuta

Yes bro na bado nipo nayo...naiheshimu sana..halaf kwenye barabara imetulia sana ni cc1500 ya mwaka 2002

Mkuu, kuna IST UA-NCP65 (4wd) ya mwaka 2002, CC 1500, mileage 81,686, ninasita sita kuiagiza kwa kuhofia umri wake kwamba itakuwa imezeeka sana. Kumbe niichukue tu eeh?

Cc: quake
 
Imezeeka?kwani umeambiwa itaenda menopause au?

We vuta hio ndinga mkuu.
Mkuu, kuna IST UA-NCP65 (4wd) ya mwaka 2002, CC 1500, mileage 81,686, ninasita sita kuiagiza kwa kuhofia umri wake kwamba itakuwa imezeeka sana. Kumbe niichukue tu eeh?

Cc: quake
 
Yes, this is true meaning of diff lock. Naona kaka pale juu kakosea kidogo. Diff lock ipo kwenye magari designed for offroad kama landcruiser hardtop. Gari nyingi za AWD na 4WD hazina diflock. Pia watu wanapaswa waelewe kuwa kuna tofauti ya 4WD na AWD, hiyo gari ya huyo jamaa itakuwa ni AWD na sio 4WD.
 
Hii ni factor kubwa sana. Gari yangu mimi highway naenda 12 KM/L ambapo wastani wa speed ni 75 -100kph. Lkn town trip average speed ikiwa ni 30-60kph natumia 9KM/L
 
Mkuu, kuna IST UA-NCP65 (4wd) ya mwaka 2002, CC 1500, mileage 81,686, ninasita sita kuiagiza kwa kuhofia umri wake kwamba itakuwa imezeeka sana. Kumbe niichukue tu eeh?

Cc: quake
Gari za kuanzia 2000 ndio ziko barabarani. Unavosema imezeeka mi nakuwa sikuelewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…