Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 247
For sale Toyota Vitz only 12 months used ,all duties paid, Engine capacity 997,.colour silver,.full tinted,new tires, Automatic lock, Price 6ml No negotiable no broker am the owner
Pm
Pm
For sale Toyota Vitz only 12 months used ,all duties paid, Engine capacity 997,.colour silver,.full tinted,new tires, Automatic lock, Price 6ml No negotiable no broker am the owner
Pm
km ngapi?
Odometer inasemaje?
Kwenye ununuzi wa magari tazama injini na condition ya gari,ata Japan -Dubai Odometer uwa zinachezewa sana,ndio maana utakuta mtu kaagiza gari la mwaka 2000 odometer inasoma 20000 !!!! Na limegigwa perfume utakuta mtu anashangilia gari langu jipyaaaa kabisa !!!!!
Tupe jinsi ya kukabiliana na hili kama unaagiza gari toka nje ya nchi, let say Japan!
Mpenzi hutaki tena Q7?
Nilikaa kwenye showroom za hawa wauzaji ni balaa tupu wana tu 'enjoy' sana,gari lenye usukani wa kulia linageuzwa na kuwa la kushoto,auto inageuzwa kuwa manual,200000km zinageuzwa kuwa 20000km nk.Unajua soko kubwa la uuzaji wa magari Japan-Dubai limeshikiliwa na wa Pakistan kwa zaidi ya 85% hapo ndio tatizo linapoanza.Dubai ndio soko kuu la used cars za mkono wa kulia duniani hapo kuna wajanja wa ki Pakistan ambao wamezaliwa na technology.Gari ambazo hazichezewi sana ni za Uk.Dubai-Japan unawezauziwa Prado ya mwaka 2009 kwa $6000 tu!!!!lakini kama utaipeleka Zanzibar ukiwaambia Dar hawakubali (ndio maana unaona Zanzibar gari ni cheaper than Dar,si kwa ajiri ya ushuru mdogo pekee bali kuna sababu nyingine ambazo ntakueleza siku nyingine,uzi huu ni kwa ajiri ya Vitz..Thanks
Tupe jinsi ya kukabiliana na hili kama unaagiza gari toka nje ya nchi, let say Japan!
Sidhani kama kuna jinsi ya kukabiliana na aina hiyo ya uhuni katika biashara ya magari