Car4Sale VITZ Inauzwa Milioni 4.7

Car4Sale VITZ Inauzwa Milioni 4.7

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
Gari ya kufanyia mitikasi ya mjini bila kuumiza mfuko..in mint condition
cc 990.

mziki mnene.
inapatikana nyuma ya 5n Sinza

Mawasiliano; 0738783625

IMG-20200306-WA0016.jpeg
IMG-20200306-WA0012.jpeg
IMG-20200306-WA0017.jpeg
IMG-20200306-WA0015.jpeg
IMG-20200306-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko vizuri..
Inaweza kwenye mpaka Arusha bila shida?
 
Kwa watu walio makini watakwambia mwanamke siyo mtunzaji mzuri wa gari.

Usipende kutumia utetezi huu.
hahaa mkuu sio kweli unachokisema ..mwanamke akiskia kitu tofauti tu kwenye gari lazima apeleke gereji..

Afu kingine huwa ni waoga sana road so hujitahidi kuendesha kwa makini hivyo magari yao huwa yanakua safe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watu walio makini watakwambia mwanamke siyo mtunzaji mzuri wa gari.

Usipende kutumia utetezi huu.
Nafikiri inategemea, shemeji yangu alikaa na gari zaidi ya miaka miwili hajawahi zidi spidi 50, kuna siku nilienda na mshkaji wangu kwa shemu akashangaa kukuta gari iko vilevile wakati ishapita miaka toka inunuliwe akamuuliza shem hii gari unaendeshea sebleni?
 
Back
Top Bottom