Car4Sale Vitz inauzwa-Mwanza

Car4Sale Vitz inauzwa-Mwanza

yungsteval

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
309
Reaction score
109
Mileage 130000
Cc 1290
Old model 2004
Vibali vyote vimelipiwa... Gari iko katika hali nzuri.
Kwa mawasiliano piga/whats app 0763434194
Bei ni 5,200,000/=
 
IMG_20170704_165221.jpg
IMG_20170704_165152.jpg
IMG_20170704_165208.jpg
 
Wewe sio mzima huwezi kuuza Vitz namba B milioni 5.2 wakati unaweza kupata Vitz namba D kwa hiyo hiyo hela na Mpya kabisa unaweza kupata kwa milioni 8.9
Ww unayenunua gari kwa kuangalia plate number ni hatari sana... Kama unaona bei kubwa piga simu kuna maelewano.... Haina haja ya kumwambia mtu sio mzima kisa anauza kitu chake
 
weka bei ya kueleweka , achana na hizo story za kisukuma.
 
Mileage 130000 kwa 5,200,000/= duuh......
Haya mkuu subiri wasukuma wenzio waidondokee ila kwa sie wa huku dar hiyo haiuziki
 
KM 130,000 kwa 5M-kwa ushauri ipeleke kule chato kwa wasukuma unaweza kupata wateja
 
Back
Top Bottom