Car4Sale Vitz inauzwa namba B

Ukipata VITS yenye gear box ya manual tujulishane mkuu!
 
Kuna mtu ana 2.8million, vipi nimshtue??
 
Watanzania ni wa.senge sana, BDT ameimport nchini 2011 mwanzoni wakati huo kila kitu toka Japan hadi kuishika mkononi bongo haizidi milioni 5. Leo miaka 10 baadae anakomaa 3.8 kisa ni Vitz old model. Mtu katoa ofa ya 2.8 eti anakataa ofa kisa Vitz old model. Gari limeendeshwa bongo ten years anataka alipwe zaidi ya nusu ya ela aliyonunulia. Huu ndo u.senge wenyewe...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alitakiwa aigawe bure au auze laki 7

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mbona una hasira sana! Kwani ndani ya hiyo miaka 10 si gari ilikua inafanyiwa pia service! Sasa unategemea gharama ibakie kuwa ile ile! Halafu mbona thamani ya milioni 5 ya 2011, ni tofauti na milioni 5 ya 2021!

By the way, hii ni biashara huria! Hakuna aliye lazimishwa kununua. Kwa mfano hiyo Vits ingekua ni manual na imenyooka, binafsi ningeichukua kwa milioni 3 kama angekubali. Mambo ya miaka ya gari kuingia na bei ya kununulia, visingekuwa kipaumbele kwangu.
 
Poaa poaa mzee babaa
 
Duuh shukrani kwa feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…