Car4Sale Vitz inauzwa namba B

Car4Sale Vitz inauzwa namba B

Watanzania ni wa.senge sana, BDT ameimport nchini 2011 mwanzoni wakati huo kila kitu toka Japan hadi kuishika mkononi bongo haizidi milioni 5. Leo miaka 10 baadae anakomaa 3.8 kisa ni Vitz old model. Mtu katoa ofa ya 2.8 eti anakataa ofa kisa Vitz old model. Gari limeendeshwa bongo ten years anataka alipwe zaidi ya nusu ya ela aliyonunulia. Huu ndo u.senge wenyewe...
Matusi hayafai. Biashara haigombi. Kwann unamporomoshea matusi mwenzio?
 
Back
Top Bottom