Car4Sale Vitz kijicho inauzwa

Hivi vigari ni roho ya paka na imara sana, na vina kiyoyozi Cha kibabe. Ila wabongo wanakosea sana, ukitaka kuuza gari liache na rangi yake original ili mtu aamue kupiga rangi mwenyewe akishanunua, ukipiga rangi hizi namba B au C unaweza usiliuze kirahisi, watu wanajiuliza unaficha nini!?.. vinginevyo ukipiga rangi ukae nalo mwaka lifubae kidogo au ujaribu mikoani vijijini huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…