Car4Sale Vitz kijicho inauzwa

Car4Sale Vitz kijicho inauzwa

Joined
Jun 4, 2024
Posts
13
Reaction score
11
Vitz kijicho
Cc 990
Mafuta inanusa
Full ac
Hain kipengele gari imetunzwa sana
Dada anatak mil 6.5 maongezi yapo
0783610244

IMG-20240605-WA0030.jpg
 
Hivi vigari ni roho ya paka na imara sana, na vina kiyoyozi Cha kibabe. Ila wabongo wanakosea sana, ukitaka kuuza gari liache na rangi yake original ili mtu aamue kupiga rangi mwenyewe akishanunua, ukipiga rangi hizi namba B au C unaweza usiliuze kirahisi, watu wanajiuliza unaficha nini!?.. vinginevyo ukipiga rangi ukae nalo mwaka lifubae kidogo au ujaribu mikoani vijijini huko..
 
Back
Top Bottom